sw_tn/ezk/12/24.md

350 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe ananena na watu wa Israeli.

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri katika 3:1.

Hakuna kitu kitakacho chelewesha

"Kile nilicho kitabiri kitatokea punde"

Hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo

Tazama taffsiri yake katika 5:11.

nena hili neno

"nena huu ujumbe" au "nena huu unabii"

katika siku zenu

"wakati mkiwa hai"