sw_tn/ezk/12/24.md

24 lines
350 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe ananena na watu wa Israeli.
# nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri katika 3:1.
# Hakuna kitu kitakacho chelewesha
"Kile nilicho kitabiri kitatokea punde"
# Hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
Tazama taffsiri yake katika 5:11.
# nena hili neno
"nena huu ujumbe" au "nena huu unabii"
# katika siku zenu
"wakati mkiwa hai"