sw_tn/deu/23/15.md

372 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

mtumwa aliyetoroka kwa bwana wake

Maana kamili inaweza kuwekwa wazi. "mtumwa kutoka katika nchi nyingine aliyetoroka kwa bwana wake na kuja Israeli"

Mruhusu aishi pamoja nawe

"Mruhusu mtumwa kusihi miongoni mwa watu wenu"