sw_tn/deu/23/15.md

12 lines
372 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# mtumwa aliyetoroka kwa bwana wake
Maana kamili inaweza kuwekwa wazi. "mtumwa kutoka katika nchi nyingine aliyetoroka kwa bwana wake na kuja Israeli"
# Mruhusu aishi pamoja nawe
"Mruhusu mtumwa kusihi miongoni mwa watu wenu"