sw_tn/1ki/07/46.md

20 lines
471 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mfalme alivisubu
"Mfalme alimruhusu Huramu awaagize wafanyakazi wake kuvisubu"
# uwanda wa Yorodani
Hii inamaanisha eneo lililo tambarare karibu na Mto wa Yorodani.
# kati ya Sukoti na Zarethani
"Sukoti" ni mji ulio upande wa mashariki mwa Mto Yorodani
# Sulemani hakuvipima vyombo vyote
"Sulemani hakumwambia Huramu na wafanyakazi wake kuvipima vyombo vyote"
# kwa sababu uzani wa shaba ulikuwa hauwezi kupimwa
"hakuna ambaye angeweza kuupima uzani wa shaba"