# Mfalme alivisubu "Mfalme alimruhusu Huramu awaagize wafanyakazi wake kuvisubu" # uwanda wa Yorodani Hii inamaanisha eneo lililo tambarare karibu na Mto wa Yorodani. # kati ya Sukoti na Zarethani "Sukoti" ni mji ulio upande wa mashariki mwa Mto Yorodani # Sulemani hakuvipima vyombo vyote "Sulemani hakumwambia Huramu na wafanyakazi wake kuvipima vyombo vyote" # kwa sababu uzani wa shaba ulikuwa hauwezi kupimwa "hakuna ambaye angeweza kuupima uzani wa shaba"