\v 4 Yohana wachee, akibatiza nyikenyi na kuhubiri ubatizo gwa kutesiwa dhambi kwa msamaha gwa dhambi.
\v 5 Isanga jose ja Yudea wose wa yerusalemu waghendie kwake. Warikogho wakibatizigwa na ye katika mweda yordani, wakiungama dhambi rawe.
\v 6 Yohana wakogho adarwa ivazi ja mafurigha ngamila na mkanda gwa mrongo kuwonunyi kwake, na wakogho adaja nzige na wuki gwa isakenyi.
\v 7 Wahubirie na kudeda, "Weko amweri adacha baada yapwa mweni ndighi zaidi kuliko nyi, na sidae hachi hata ya kughoghema ndonyi na kurughua chugha ra vandu vake.
\v 8 Nyi nawabatizie kwa machi, ela yedimawamibatiza inyo kwa ngolo wa kuela."
\v 41 Akisukumwa ni mbazi, Jesu waghaghoa mkonu gwake na kuwhada, akimghoria, "Ndakundi uke aelie."
\v 42 Mara imweri ukoma ukamuinga, na wabonyiwe kuka imweri,
\v 43 Jesu wamwonyie vikali na akamzera aghende mara imweri,
\v 44 Wamghoria, "Hakikisha ndudedagha idedo kwa wowose, ela ghenda, ukibonyirie kwa kuhani, na ufunye dhabihu kwa ajili ya utakaso ambayo Musa walagizie, sa ushuhuda kwawhe."
\v 45 Ela waghendie na kuwoka kughoria kila umweri na kueneza idedo zaidi hata Jesu ndadimie sena kungia mzinyi kwa uhuru. Huwo wakee andu kwa faragha na wandu wachee kwake kufuma kila andu.
\c 2
\cl Sura 2
\p
\v 1 Achawuya kaperenaumu baada ya maruwa machache, yasikika kwamba wakogho nyumbenyi.
\v 2 Wandu wengi nanganyi wakogho wakwana andu amweri aja na ndaikogho nafasi sena, hata ija ya aja mjangonyi, na Jesu wadedie idedo kwawhe.
\v 3 Kisha baadhi ya wandu wachee kwake wamreda mundu wakogho waolola; wandu bana wakogho wamndwa.
\v 4 Makati wachalemwa kumkaribia kwa sababu ya umati gwa wandu, wa injie paa ighu ya andu aja wakogho. Na warikogho wameria toboa itundu, waserie kitanda ambacho mundu waolole wakogho watungura.
\v 5 Achaiwona imani yawe, Jesu wamghoria mundu waolole, "mwanapwa, zambi rako rasamehewa"
\v 12 Wakee kimsi na mara imweri akawusa mkeka gwake, na waghendie shighadi ya nyumba imbiri ya kila mundu, huwo wose washangae na wamnekie Mlungu utukufu, na wakadeda "kamwe, ndadiwahie kuwona ilagho sa iji."
\v 15 Na makati Jesu warikogho akiipata vindo katika iwacha ja Lawi, wawikagha andu amweri kodi na wandu weni zambi wakogho wakija na Jesu na wananfunzi wake, kwa wuja wakogho wengi nawo wamnugha.
\v 16 Makati waandishi, ambawo wakogho mafarisayo, wachamwona kwamba Jesu wakogho akija na wandu weni zambi na wawikagha andu amweri kodi, wawaghoria wanafunzi wake, "kwa indoi adaja na wawikagha andu amweri kodi na wandu weni zambi?"
\v 18 Wanafunzi wa Yohana na Mafarisayo wakogho wakifunga. Na baadhi ya wandu wacheee kwake na kumghoria, "kwa indoi wanafunzi wa Yohana na mafarisayo hufunga, ela wanafunzi wako ndawafungagha?
\v 21 Ndakudae mundu ashonagha kiwande kiwishi cha nguwo kweni ivazi kuukuu, vinginevyo kiraka dima chabanduka kufuma katika ijo, kiwishi kubanduka kufuma katika kikuukuu, na dimakwaka na mrashulo mbaha.
\v 22 Ndakudae mundu akumbagha divai mbishi viribenyi vikuukuu, vinginevo divai dima ya virashula viriba na vose viwi divai na viriba dima valaghaya. Badala yake, wika divai mbishi katika viriba viwishi."
\v 25 Wawaghoria, "Ndamsomie chija abonyie Daudi andu wakogho katika uhitaji na njala--ye andu amweri na wandu wakogho andu amweri nae?
\v 26 Jinsi waghendie katika iwacha ja Mlungu makati Abiathari warikogho kuhani mbaha na akaja mkate uwi kiwegwe imbiri--ambao irikogho kinyume cha sheria kwa wandu wowose kuja isipokuwa makuhani--na wawaneka hata baadhi ya waja wakogho andu amweri nae?"
\v 27 Jesu wadedie, "sabato yabonyiwe kwa ajili ya mdamu, siyo mdamu kwa ajili ya sababto.
\v 28 Kwa huwo, mvalwa wa Adamu wa mzuri, hata kwa sababto."
\c 3
\cl Sura 3
\p
\v 1 Na sena wangia ndenyi ya isinagogi na mja kurikogho na mundu mweni mkonu ulole.
\v 2 Baadhi ya wandu wakogho wakimnughiria kwa ukaribu kuwona ngelo dimawamkira iruwa ja sabato ili kwamba wamshitaki.
\v 3 Jesu wamgheria mandu mweni mkonu uolole, "Wukia na ukekimsi ghadighadi ya umati ughu."
\v 4 Kisha akawaghoria wandu, Je ni halali kubonya itendo jiboie iruwa ja sabato angu kubonya ghasadae hachi, kutesia maisha, angu kubwagha? "Ela wabakie kimumure.
\v 5 Akawaguwa kwa hasira, akiwona mbazi kwa sababu ya ugumu wa mioyo yawhe, na akamghoria uja mundu, "ghaghoa mkonu gwako." Akaghughaghoa na Jesu akamkira mkonu gwake.
\v 7 Kisha Jesu, andu amweri na wanafunzi wake, waghendie baharinyi, na uamati mbaha gwa wandu wawanughie ukimfumiria Galilaya na Uyahudi.
\v 8 Na kufuma Yerusalemu na kufuma idumaya na imbiri ya Yordani na jirani ya Tiro na sidoni, umati mbaha, uchasikira kila kilambo wakogho adakibonya, wachee kwake.
\v 9 Na wawaghoria wanafunzi wake kuandaa mtumbwi mtinyi kwa ajili yake kwa sababu ya umati, ili kwamba wasache msonga.
\v 10 Kwa wuja wakira wengi, ili kila mundu wakogho na mateso wakogho na shauku ya kumfikia ili amwhade.
\v 11 Kokose ngolo wachafu wachamwona, wagwie ndonyi imbiri yake na kulila, na wadedie, "We wamvalwa wa Mlungu."
\v 26 Ngelo shetani dimawanuka kinyume chake mweni na kuwaghanyika, ndadimaa kukakimsi, na dimawaka wafika mwisho gwake.
\v 27 Ela ndakudae hata umweri adimagha kungia ndenyi ya iwacha ja mundu mweni ndighi na kuiwa vilambo vake bila kumrugha mweni ndighi kwanza, na kisha kuwika andu amweri chikoo nyumbenyi.
\v 28 Loli nawaghorienyi, zambi rose ra wana wa wandu dimarasamehewa, andu amweri na kufuru ambaro wadatamka,
\v 29 Ela wowose achamkufuru Ngolo wa kuela ndasamehewa kamwe, bali akona hatia ya zambi ya kala na kala."
\v 33 Wawajibie, "Ni ani mawe wapwa na wambari wapwa?"
\v 34 Wawaguwie wakogho waka wamzunguluka, na akadeda, "Guwa, awa ni wakamawe wapwa na wambari wapwa!
\v 35 Wowose abonyagha mapenzi gha Mlungu, mundu uyo wambari wapwa, na dada wapwa, na mawe wapwa."
\c 4
\cl Sura 4
\p
\v 1 Sena wazamie kufundisha mbai mbai ya bahari. Na umati mbaha wakwana andu amweri ukamzunguluka, akangia ndenyi ya mtumbwi baharinyi, na kuka. Umati gwose wakogho mbai mwa bahari ufukwenyi.
\v 2 Na akawafundisha malagho mengi kwa mifwano, na akadeda kwawhe kwa mafundisho ghake.
\v 3 Sikirenyi, mpanzi waghendie kuwa.
\v 4 Warikogho akiwa, baadhi ya mbeu ragwie chienyi, na wanyonyi wakacha wakarija.
\v 5 Mbeu rimwi ragwie lwalenyi, ambako ndakudaghe ndoe nyingi. Mara rikanyauka, kwa sababau ndaridaghe ndoe ya kutosha.
\v 6 Ela iruwa jicha chomoza, ranyaukie, na kwa sababu ndaridaeghe na mri, raomie.
\v 7 Mbeu rimwi ragwie ghadighadi ya minjwa. Minjwa yazoghue na ikarisonga, na ndarivae matunda ghoghose.
\v 8 Mbeu rimwi ragwie ndoenyi iboie na rikava matunda wakati zikazoghua na kuongezeka, rimwi ravae mara thelathini zaidi, na rimwi sitini, na rimwi ighana."
\v 9 Na akadeda, "Wowose mweni mandu gha kusikira, na asikire!"
\v 12 Ili wakiguwa, hee huguwa, ela ndawawonaa, na kwa huwo wachasikihra hee husikira, ela ndawaelewaa, angu siko kumachawaaghuka na Mlungu kumachawawasamehe."
\v 15 Baadhi ni waja wagwie pembenyi mwa chia, andu idedo jawalwe. Na wachajisikira, mara shetani akacha na kujiwusa idedo ambajo jawalwandenyi yawhe.
\v 16 Na baadhi ni waja wawalwe ighu ya lwala, ambawo, andu wajisikiragha idedo, kwa karuwaruwa wadajiwokera kwa furaha.
\v 17 Na ndawadae miri yoyose ndenyi yawhe, ela huririmira kwa muda mvui. Halafu tabu na masumbufu vichacha kwa sababu ya idedo, mara hukikuwa.
\v 18 Na wamwi na waja wawalwe katika minjwa. Wadajisikira idedo,
\v 19 Ela masumbufu gha dunia, utee gwa mali, na tamaa ra malagho ghamwi, huwngia na kujisonga idedo, na jidalemwa kuva matunda.
\v 20 Kisha kukona waja ambawo wawalwa ndoenyi iboie. Wadajisikira idedo na kujiwokera na huva matunda: baadhi thelathini, na baadhi sitini, na baadhi ighana jimweri.
\v 21 Jesu akawaghoria, "Je huwa udareda taa ndenyi ya iwacha na kuiwoka ndonyi ya ngau, angu ndonyi ya kitanda? Huireda ndenyi na kuiwika ighu ya kiango.
\v 22 Kwa wuja ndakudae chochose chikivisie ambacho ndachiwikwagha mwari.
\v 23 Akiwapo mweni madu gha kusikira, na asikire!"
\v 41 Wachuiwe ni hofu mbaha ndenyi yawhe na wakadedeshana weni kwa weni, "Uyu wa ani sena, kwa sababu ata upepo na bahari vidamtii?"
\c 5
\cl Sura 5
\p
\v 1 Wachee mpaka luwande lumwi lwa bahari, katika mkoa gwa Garasi.
\v 2 Na ghafla makati Jesu warikogho akifuma shighadi ya mtumbwi, mundu mweni ngolo chafu wachee kwake kufuma makaburinyi.
\v 3 Mundu uyu wakee makaburinyi. Ndakudae wadimie kumzuia zaidi, ndakudaeghe hata kwa minyororo.
\v 4 Wakogho warugwa matuku mengi kwa pingu na minyororo. Wademie minyororo na pingu rake rachukanyiwe. Ndakudae hata umweri warikogho na ndighi ra kumshinda.
\v 5 Kio na dime akika makaburinyi na lughoghonyi, walilie na kukidema ye mweni kwa magwe ghabirie.
\v 6 Wachamwona Jesu kwa kula, wakimbirie kwake na kughoghoma imbiri yake.
\v 7 Walilie kwa sauti mbaha, "Ukundi nikubonyie indoi, Jesu, mvalwa wa Mlungu akoo ighu nanganyi? ndakusihi kwa Mlungu mweni, usanitese."
\v 8 Kwa wuja wakogho wamghoria, "muinge mundu uyu, we ngolo mchafu."
\v 14 Na waja warikogho wakiwajisa nguwe wakimbia na kufanya taarifa ya chifumirie katika mzi na katika isanga. Niko wandu wengi wafumie kughenda wona chifumirie.
\v 15 Niko wachee kwa Jesu na wamwonie mundu wapagaiwe ni pepo--warikogho na ijeshi--wakandonyi, warwishwa, na akika katika akili yake timamu, nawo waboa.
\v 16 Waja warikogho wawona chifumirie kwa mundu warikogho wapagawa ni ipepo wawaghoria chifumirie kwake na pia kuhusu nguwe.
\v 17 Na wo wawokie kumsihi ainge katika mkoa gwawhe.
\v 21 Na makati Jesu wachaluwuka sena luwande lumwi, ndenyi ya mtumbwi, umati mbaha wakwana andu amweri kumzunguluka, warikogho mbai ya bahari.
\v 22 Na umweri wa kilongozi wa isinagogi, wawangiwe Yairo, wachee, na wachamwona, wagwie maghunyi kwake.
\v 23 Wamsihie zaidi, akideda, "Mwai wapwa mtinyi adakaribia kufwa. Ndakusihi, cho na uwike mikonu yako ighu yake ili kwamba adime kupata afya na kuishi."
\v 24 Huwo waghendie andu amweri nae, na umati mbaha ghwamnughie na wo wamzongie avui wakimzunguluka.
\v 25 Kurikogho na mndumka ambae bagha yake yakogho yafuma kwa mirongo kumi na iwi.
\v 26 Watesekie va kutosha ndonyi ya matabibu wengi na watumia kila kilambo akoo nacho. Hata huwo ndasaidike kwa chochose, ela badala yake wazidie kuka na hali izamie.
\v 27 Wasikira habari kuhusu Jesu. Huwo wachee nyuma yake makati warikogho akitembea ndenyi ya umati, na ye wajiwhada ivazi jake.
\v 30 Na ghafla Jesu wagundua ndenyi yake mweni kwamba ndighi ramfuma. Na waaghukie uku na uku katika umati gwa wandu na kuketia, "Ani wajiwhada ivazi japwa?"
\v 35 Warikogho akiaria, baadhi ya wandu wachee kufuma kwa kilongozi wa isinagogi, wakideda, "Mwai wako wafwa. Kwa indoi kuendelea kumghaisha mwalimu?"
\v 36 Ela Jesu achasikira ambacho wachideda, wamghoria kilongozi wa isinagogi, "Usaboe. Amini tu."
\v 37 Ndamruhusie yeyose kulongozana na ye, isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana, mmbari waake Yakobo.
\v 38 Wachee nyumbenyi kwa kilongozi wa isinagogi na ye wawonie vurugu, kulila kwingi na kulila kubaha.
\v 39 Achangia nyumbenyi, wawaghoria, "kwa indoi mwasikitika na kwa indoi mdalila? mwana ndafwie bali watungura."
\v 40 Wamseka, ela ye, wawafunya wose shighadi, wamwusa aba wa mwana na mawe na waja warikogho andu amweri nae, na wangirie ndenyi wakogho mwana.
\v 41 Wawusie mkonu gwa mwana na wamghoria, "Talitha koum," ambayo ni kudeda, "Mwai mtinyi, nakughoria, wukia."
\v 42 Ghafla mwana wawukia na kutembea (kwa wuja wakogho na umwi gwa miaka kumi na iwi). Na ghafla wawhadwa ni mshangao mbaha.
\v 43 Waamuru kwa ndighi kwamba ndakudae wowose adapaswa kumanya kuhusu iji. Na wawaghoria wampatie uja mwai vindo.
\c 6
\cl Sura 6
\p
\v 1 Na akainga aho na kughenda mzinyi kwawhe, na wanafunzi wake wakamnugha.
\v 2 Sabato ichafika, waanzie kufundisha katika isinagogi. Wandu wengi wamsikira na wakashangazigwa. Wakadeda, "Wapata hao mafundisho agha?" "Abonya wada miujiza ihi kwa mikonu yake?"
\v 3 "Je uyu si uja seremala, mvalwa wa Mariamu na wambari wawhe waka Yakobo, yose, Yuda na Simoni? Je dadarake si wadaka aha eni andu amweri na isi? Na ndawaboiwe ni Jesu.
\v 14 Mgimbikwa Herode achasikira agho, kwa wuja irina ja Jesu jakogho jamanyikana nanganyi. Baadhi wadedie, "Yohana mbatizaji wafufuka na kwa sababu iyo, ihi ndighi ya miujiza idabonya kazi ndenyi yake."
\v 15 Baadhi yawhe wakadeda, "Uyu wa Eliya, "Bado wamwi wakadeda, "uyu wa mlodi, sa umweri wa waja walodi wa kala."
\v 17 Maana Herode mweni walagizie Yohana awhadigwe na wamrugha gerezanyi kwa sababu ya Herodia (mka wa kakie Filipo) kwa sababu ye wakogho wamlowua.
\v 18 Kwa maana Yohana waghoria Herode, "si halali kumlowua mka wa kakio."
\v 19 Ela Herodia wawokie kumzamiwa na wakogho akikundi kumbwagha, ela ndadimie,
\v 20 Maana Herode wamboa Yohana; wamanyie kwamba wa mweni hachi mundu mweli, na wamsighie salama; Na wachaendelea kumsikira wahuzunikie nanganyi, ela waboiwe kumsikiria.
\v 21 Hata ichafika makati mwafaka ikika yakaribia siku ya kuvalwa Herode akawaandalia maofisa wake karamu, na makamanda, na vilongozi wa Galilaya.
\v 22 Niko mwai wa Herodia akangia na kuvina imbiri yawhe, akamboia Herode na waghenyi wakee makati gha vindo va kwenyi. Niko mgimbikwa akamghoria mwai, "Nilombe chochose ukundii na nyi dimanakuneka."
\v 23 Akamlawia na kudeda, chochose unilombaagha, dima nakuneka, hata nusu ya ugimbikwa gwapwa."
\v 25 Na mara imweri akangia kwa mgimbikwa akawoka kudeda, "Nkundi unineke ndenyi ya sahani, chongo cha Yohana mbatizaji."
\v 26 Mgimbikwa wasikitishiwe nanganyi, ela kwa sababu ya kilawo chake na kwaajili ya waghenyi, ndadimie kumlegha iombi jake.
\v 27 Huwo, mgimbikwa akaduma askari kati ya walinzi wake na kuwalagiza kughenda kumredia chongo cha Yohana. Mlinzi waghendie kumdema chongo akika kifungonyi.
\v 28 Akachireda chongo chake sahaninyi na kumneka mwai, na mwai akamneka mae.
\v 29 Na wanafunzi wake wachasikira agho, waghendie kuuwusa muwi gwake wakaghenda kuurika kaburinyi.
\v 37 Ela wawajibie akideda, "Wanekenyi inyo vindo." Wakamghoria, "Didadima kughenda na kugua mikate yeni thamni ya dinari maghana awi na kuwaneka waje?"
\v 47 Kurikogho kwenyi, na mashua yawhe makati agho ikika ghadi ghadi ya bahari, na ye wakogho mweni keri ndoe kavu.
\v 48 Na wawonie wakiitaabika kukaba makasia kwa sababu upepo gwawazuia. Ichakaribia keshokio akawaghendia, akitembea ighu ya machi, na wakundie kuwaida.
\v 49 Ela wachamwona adatembea ighu ya machi, wakangiwa ni wasiwasi wakidhani wa mzimu hata wakakaba jogho.
\v 50 Kwa sababu wamwonie wakachuiwa ni hofu. Mara akadeda na wo akawaghoria, "Mke wajasiri! na nyi! msake na hofu."
\v 51 Akangia ndenyi ya mashua, na upepo ukasigha kuvuma, nawo wakamshanghgaa kabisa.
\v 52 Huwo ndawakogho waelewaa maana ya ija mikate. Maana akili rawhe rakogho na uelewa mtinyi.
\v 53 Na wo wachaluwuka kimonu, wafikie isanga ja Genesareti mashua ikakumba nanga.
\v 54 Wachafuma shighadi ya mashua, mara wakammanya.
\v 55 Wakakimbia kutangaza katika mkoa mlanzi na wakawoka kuwareda wakongo kwa machela, kila wachasikira adacha.
\v 56 Kokose wangie katika vijiji, angu mzinyi, angu katika isanga, wawawikie wakongo andu kwa chete, na wakamsihi awaruhusu kuwhada ipindo ja vazi jake. Na wose wamwhadie wakiriwe.
\c 7
\cl Sura 7
\p
\v 1 Mafarisayo na baadhi ya waandishi ambawo wakogho wafuma Yerusalemu wakee andu amweri kumzunguluka ye.
\v 2 Na wawonie kuwa baadhi ya wanafunzi wake wajie mkate kwa mikonu najisi; ambayo ndaiogheshigwe.
\v 3 (Kwa mafarisayo na wayahudi wose ndawajagha mpaka waoghesha mikonu yawhe nicha; wadawhadiria utamaduni gwa waghosi.
\v 4 Mafarisayo wakawuya kufuma andu kwa chete, ndawajagha mpaka waogha kwanza. Na kuko sheria rimwi ambaro wadarinygha kabisa, ikika ni amweri na kuoghesha vikombe, masufuria, vombo va shaba, na hata vifumbi vidumikagha makati gha vindo.)
\v 6 Ela ye wawaghoria, "Isaya watabirie nicha kuhusu inyo wanafiki, waandikie, 'wandu awawadanicheshimu kwa momu yawhe, ela mioyo yawhe iko kula na nyi.
\v 8 Mwaisigha sheria ya Mlungu na kuwhadiria kwa wepesi tamaduni ra wadamu."
\v 9 Na akadeda kwawhe, "mwailegha amri ya Mlungu kwa urahisi ili kwamba mtunze tamaduni renyu!
\v 10 Kwa wuja Musa wadedie, 'mheshimu ndeo na mayo; na 'ye adedagha ghazamie ighu ya ndee angu maye hakika dimawafwa.'
\v 11 Ela mwadeda, 'ngelo mundu akadeda kwa ndee angu mawe, "Msaada wowose ambagho kumacha mwawokera kufuma kwapwa ni hazina ya Ihekalu,"' (iyo ni kudeda kwamba, 'yafunyigwa kwa Mlungu')
\v 12 huwo ndamruhusu kubonya ilagho jojose kwa ajili ya aba angu mae.
\v 13 Mdaibonya amri ya Mlungu kuka bure kwa kureda tamaduni renyu. Na malagho mengi gha jinsi iyo mghabonyagha."
\v 14 Wawangie makutano sena na kuwaghoria, "mnisikire nyi, inyo wose, na mnielewe.
\v 15 Ndakudae chochose kufuma shighadi yamundu ambacho chadimagha kumachafua mundu chikingia kwake. Bali ni chija chimfumagha mundu nicho chimchafuagha.
\v 17 Jesu achawasigha makutano na kungia nyumbenyi, wanafunzi wake wakamkotia kuhusu mfwano ugho.
\v 18 Jesu akadeda, "Na inyo pia bado ndamuelewa? Ndamwonagha kwamba chochose chimungiagha mundu ndachidimagha kumachafua.
\v 19 Kwa sababu ndaichidimagha kughenda moyonyi kwake, ela chidangia katika kifu chake na kisha chidaida kughenda choonyi." Kwa maelezo agha Jesu wavibonya vindo vose kuka vielie.
\v 20 Wadedie, "Ni chija ambacho chidamfuma mundu nicho chimchafuagha.
\v 21 Kwa wuja hufuma ndenyi ya mundu, shighadi ya moyo, hufuma mawazo ghazamie, zinaa, uting'a, mabwagho,
\v 24 Wawukia kufuma aja na kuinga kughenda katika mkoa gwa Tiro na Sidoni. Wangia ndenyi na ndakundie mundu wowose amanye kuwa wakogho aho, ela ndaidimikane kumvisa.
\v 25 Ela ghafla mndumka, ambae mwanake mtinyi wakogho na ngolo mchafu, wasikira habari rake, akacha, na akagwa maghunyi kwake.
\v 26 Mndumka uyo wakogho myuinani, wa ikabila ja kifoeniki. Wamsihie ye ambingise pepo kufuma kwa mwai wake.
\v 27 Jesu akamghoria mndumka, "Wasighe wana wajiswe kwanza, kwa wuja ndaika sawa kuuwusa makate gwa wana na kuwadaghia makoshi."
\v 6 Waghuamuru umati ghuke ndonyi. Akawusa mikate saba, akamshukuru Mlungu, na kuichukanya. Akawaneka wanafunzi wake waiwike imbiri ya whe, na wo wakawika imbiri ya umati.
\v 7 Pia wakogho na samaki watinyi watineri, na baada ya kushukuru, wawaamuru wanafunzi wake wawawaghie hevi pia.
\v 8 Wajie na wakatosheka. Na wawikie andu amweri viwande visangalike, ngau mbaha saba.
\v 9 Wakaribie wandu efu ina. Na wawasighie waghende.
\v 10 Mara wangie mashuenyi na wanafunzi wake, na wakaghenda katika ukanda ya Damanuta.
\v 22 Wakacha Bethsaida. Wandu awo wamreda kwa Jesu mundu asawonaa na wamsihie Jesu amwhade.
\v 23 Jesu akamwhada kwa mkonu uja asawonaa, na kumlongoza shighadi ya kijiji. Achashua mada ighu ya meso ghake na kughaghoa mikonu yake ighu yake, wamkotia, "Udawona chochose?
\v 31 Na akawoka kuwafundisha ya kuwa mvalwa wa Adamu lazima ateseke kwa malagho mengi, na dimawalegwa na vilongozi na makuhani wabaha, na waandishi, na dimawabwagwa, na baada ya maruwa adadu dimawafufuka.
\v 32 Wadedie agha kwa uwazi. Niko Petro akamwusa pembenyi na akawoka kumkemia.
\v 33 Ela Jesu waanguka na kuwaguwa wanafunzi wake na akamkemia Petro na kudeda, "ida nyuma yapwa shetani! ndujali malagho gha Mlungu, isipokuwa malagho gha wandu."
\v 34 Kisha akauwanga umati wa wanafunzi wake andu amweri, na kuwaghoria, "ngelo kukona mundu adakundi kuninugha, akikane mweni, awuse msalaba gwake, na aninughe.
\v 35 Kwa wuja wowose akundii kughatesia maisha ghake dimawaghalaghasha, na wowose alaghashagha maisha ghake kwa ajili yapwa na kwa ajili, dimawaghatesia.
\v 36 Idamfaidia indoi mundu, kupata urumwengu gwose, na kisha kupata hasara ya maisha ghake?
\v 37 Mundu adimagha kufunya indoi badala ya maisha ghake?
\v 38 Wowose aniwoneagha whaya na madedo ghapwa katika kivazi ichi cha wazinzi na kivazi cha weni zambi, Mvalwa wa Adamu dima wamwonia whaya achacha katika ufalme gwa Aba wake andu amweri na malaika weli.
\c 9
\cl Sura 9
\p
\v 1 Na wadedie kwawhe, "Hakika nadeda kwenyu, baadhi yenyu kuko wandu wakee kimsi ahandawatoagha mauti kabla ya kuuwona ufalme gwa Mlungu ghukicha kwa ndighi."
\v 4 Niko Eliya andu amweri na Musa wafumirie imbiri yawhe, na wakogho wakiaria na Jesu.
\v 5 Petro wajibie akamghoria Jesu, "Mwalimu, ni vema isi kuka aha, na diaghe viwanda vidadu, chimweri kwa ajili yako, chimweri kwa ajili ya Musa na chimwi kwaa ajili ya Eliya."
\v 6 (kwa wuja ndamanyie indoi cha kudeda, waboie nanganyi.)
\v 17 Umweri wawhe katika ikundi wamjibie, "mwalimu, namreda mwanapwa kwako; akona ngolo chafu ambayo humbonya asadime kuaria,
\v 18 na humsababisha kutetemeka na kumgwisha ndonyi, na kufuma ipovu momunyi na kusaga maghegho na kukakamaa. Nawalombie wanafunzi wako kumfunya ipepo, ela ndawadimie.
\v 30 Wafumie aja na kuidia Galilaya. Ndakundie mundu wowose amanye andu weko,
\v 31 Kwa wuja wakogho adafundisha wanafunzi wake. Wawakotia, "Mvalwa wa Adamu dimawafikishwa mikonunyi mwa wandu, na dimawamwabudu dima wafufuka sena."
\v 32 Ela ndawaelewe maelezo agha, na waboie kumkotia.
\v 33 Niko wafikie kapernaumu. Makati akika ndenyi ya iwacha wawakotia, "Mrikogho mdajadili indoiu chienyi?"
\v 34 Ela wakogho kimumure. Kwani wakogho wadabishana chienyi kwamba ani wakogho mbaha zaidi.
\v 35 Wakaie ndonyi akawawanga kumi na wawi andu amweri, na wadedie nawo, "ngelo wowose akundii kuka wa kwanza, ni lazima ake wa mwisho na mtumishi wa wose."
\v 36 Wamwusie mwana mtinyi akamwika ghadi ghadi yawhe. Akamwusa katika mikonu yake, akadeda,
\v 37 "Wowose amwokeragha mwana sa uyu kwa irina japwa, pia waniwokera nyi, na ikika mundu waniwokera, ndaniwokeragha nyi tu, ela pia wanidumie."
\v 42 Wowose awasoweshagha awa watinyi wanianiinyi, kumacha yaka vema kwake kurughiwa ighwe ja kusaghia singonyi na kudagwa baharinyi.
\v 43 Ngelo mkonu gwako ghuka kusowesha ghudeme. Ni heri kungia katika banana bila mkonu kuliko kungia hukumunyi ukika na mikonu yose. katika modo "ghusarimikaa."
\v 47 Ngelo iriso jako jikakusowesha jikue. Ni vema kwako kungia katika ufalme gwa Mlungu ukika na iriso jimweri, kuliko kuka na meso awi na kudagwa kuzimunyi.
\v 48 Andu kuko fuza wasafwa, na modo ghusarimikaa.
\v 49 Kwa wuja kila umweri dimawakolezigwa ni modo.
\v 50 Munyu gwaboie, ngelo munyu ghjakalaghasha ladha yake, dimawaibonya wada ike na ladha yake sena? mke na munyu miongonyi kwenyu weni, na mke na amani kwa kila umweri."
\c 10
\cl Sura 10
\p
\v 1 Jesu wangie ieneo ijo na akaghenda katika mkoa gwa uyahudi na ieneo ja imbiri ya mweda Yordani, na makutano wamnughie sena, wafundishie sena, sa andu yakogho kawaida yake kubonya.
\v 2 Na mafarisayo wachee kumgheria na wamkotia, Ya halali kwa mundumuni kusighana na mkake?"
\v 13 Na wo wamredia wana wawhe watinyi ili awawhade, ela wanafunzi wakawakemia.
\v 14 Ela Jesu achatambua ijo, ndaboiwe najo kabisa akawaghoria, "Waruhusunyi wana watinyi wache kwapwa, na msawazuie, kwa sababu weko sa awa ufalme gwa Mlungu ni wawhe.
\v 15 Uloli nawaghoria, wowose asawokeragha ufalme gwa Mlungu sa mwana mtinyi hakika ndadimagha kungia katika ufalme gwa Mlungu.
\v 16 Kisha akawawusa wana mikonunyi kwake na akawabariki akiwawikia mikonu yakeighu yawhe.
\v 17 Na wachachianza charo chake mundu umweri wamkimbiria na akakaba magoti imbiri yake, akamkotia, "mwalimu uboie, nibonyie ili ndime kupala banana ya kala na kala?"
\v 21 Jesu wamghuwie na kumkunda. Akamghoria, "udaghoduiwa kilambo chimweri. Udapaswa kudagha vose ukoo navo na uwaneke masikini, nadimawaka na hazina mbingunyi. Niko uche uninughe."
\v 22 Ela wakatie tamaa kwa sababu ya maelezo agha; wangie akika mweni huzunyi kwa wuja wakogho na mali nyingi.
\v 23 Jesu akaguwa pande rose na kuwaghoria wanafunzi wake, "Ni jinsi ki iko ikurie kwa tajiri kungia katika ufalme gwa Mlungu!
\v 24 Wanafunzi washangazigwa kwa madedo agha. Ela Jesu akawaghoria sena, "Wana, ni jinsi ki iko vikurie kungia katika ufalme gwa Mlungu!
\v 25 Ya rahisi kwa ngamila kuida itundunyi ja sinzano, kuliko mundu tajiri kungia katika ufalme gwa Mlungu."
\v 29 Jesu akadeda, "Uloli nawaghoria nyi, ndakudae wasighie iwacha, angu kaka, angu dada, angu mawe, angu Aba, angu wana, angu ardhi, kwa ajili yapwa, na kwa ajili ya injili,
\v 30 Ambae ndawokeragha mara ighana zaidi ya iji aha aha dunienyi: Iwacha, kaka, dada, mawe, wana na ardhi, kwa mateso, na urumwengu uchagha, banana ya kala na kala.
\v 31 Ela wengi weko wa kwanza dimawaka wa mwisho na weko wa mwisho dimawaka wa kwanza."
\v 32 Wachaka chienyi, kughenda Yerusalem, Jesu wakogho wawakiria imbiri yawhe. Wanafunzi washangaie, na waja warikogho wadanugha nyuma waboa. Niko jesu akawafunya pembenyi sena waja kumi na iwi na akawoka kuwaghoria ambacho dimachamdoka huwu karibuni.
\v 33 "Guwa, didaghenda mpaka Yerusalemu, na mvalwa wa Adamu dimawafikishwa kwa makuhani wabaha na waandishi. Dimawamhukumu afwe na dimawamfunya kwa wandu wa mataifa.
\v 34 Dimawamdhihaki, dimawachuia mada, dimawamkaba kwa changu, na dimawambwagha. Ela baada ya maruwa adadu dimawafufuka."
\v 41 Waja wanafunzi wamwi kumi wachasikira agha, wakawoka kuwawonia virea Yakobo na Yohana.
\v 42 Jesu akawawanga kwake na kudeda, "Mdaichi kuwa waja wadhaniwaa kuka watawala wa wandu wa mataifa huwatawala, na wandu wawhe washuhuri huwabonyeria mamlaka ighu yawhe."
\v 43 Ela ndaipaswagha kuka huwu kati yenyu. Wowose akagha mbaha kati yenyu lazima awadumikie,
\v 44 na wowose akagha wa kwanza kati yenyu ya lazima ake mtumwa wa wose.
\v 45 Kwa wuja mvalwa wa Adamu ndachee kudumikiwa bali kudumika, na kughainja maisha ghake kuka faida kwa wengi."
\v 46 Wakacha Yeriko. Warikogho akiinga Yeriko na wanafunzi wake na ikundi baha, mvalwa wa Timayo, Batimayo, asawonaa mlombaji, wakee mbai ya barabara.
\v 47 Wachasikira kuwa wa Jesu Mnazareti, wawokie kukaba jogho na kudeda, "Jesu, mvalwa wa Daudi, niwonie mbazi!"
\v 48 Wengi wamkemia uja asawonaa, wakimzera anyame kima. Ela walilie kwa sauti zaidi, "Mvalwa wa Daudi, niwonie mbazi!"
\v 52 Jesu akamghoria, "Ghenda. Imani yako yakukira." Aho meso ghake ghakawona; na akamnugha Jesu barabarenyi.
\c 11
\cl Sura 11
\p
\v 1 Makati agho wachacha Yerusalemu, wachakaribia Bethafage na Bethania, katika lughogho lwa mizeituni, Jesu wawangie wawi mlongonyi mwa wanafunzi wake.
\v 2 na wawaghoria, "Ghendenyi katika kijiji kikabilianagha na isi. Mara mchangia umo, dimamwamdoka mwanambunda ambae ndajokiwe. Mrughenyi na mumrede kwapwa.
\v 11 Niko Jesu wangie Yerusalemu na waghendie hekalunyi na waguwie kila kilambo. Idana, makati ghakogho ghaghenda, waghendie Bethania amweri nawo kumi na iwi.
\v 13 Na akawona mdi gwa mtini ghurikogho na nyasi kwa kula, waghendie kuguwa ngelo kumachawadima kupata chochose ighu yake. Na makati wachaghenda kwa ugho, ndapatie chochose isipokuwa nyasi, kwawuja ndayakogho majira gha mtini.
\v 15 Wachee Yerusalemu, na ye wangia hekalunyi na kuwoka kuwafunya shighadi wadaghaa na wagulaa ndenyi ya ihekalu. Waripindue meza ra wabadilishagha fedha na vifumbi va waja warikogho wakidagha njiwa.
\v 17 Wawafundishie na akadeda, "Je ndai andikigwe, 'iwacha japwa dimajawangwa iwacha ja sala kwa mataifa ghose? 'ela mwajibonya ipango ja wanyang'anyi."
\v 18 Makuhani wabaha na waandishi wasikira andu wakogho wadeda, na wo walolie chia ya kumbwagha. Hata huwo wamboaa kwa sababu umati gwashangazigwa na mafundisho ghake.
\v 19 Na kila makati kwenyi ichafika wangie mzinyi.
\v 22 Jesu wawajibie, "mke na imani katika Mlungu.
\v 23 Amini nawaghoria kwamba kila alughoriagha lughongo ulu, 'inga, na ukakidaghe mweni baharinyi, na ngelo ndadae mashaka moyonyi mwake ela adaamini kwamba wachidedie dimachafumiria, huwo niko Mlungu dimawabonya.
\v 24 Kwa huwo ndawaghoria: kila kilambo mlombaa na kukotia kwa ajili yake, amininyi ya kwamba mwawokera, navo dima vaka venyu.
\v 25 Makati mkaghakimsi na kutasa, mdapaswa kusamehe chochose mko nacho dhidi ya wowose, ili kwamba aba wenyu akoo mbingunyi awasamehe pia inyo makosa ghenyu.
\v 33 Niko wamjibie Jesu na kudeda, 'Ndadimanyaa. Niko Jesu akawaghoria, 'Wala nyi siwaghoriagha ni kwa mamlaka ki ndaghabonya malagho agha.
\c 12
\cl Sura 12
\p
\v 1 Kisha Jesu wawakie kuwafundisha kwa mifwano. Akadeda, "Mundu wawae mbuwa ya mizabibu, akaizungulushia uzio, na akakota ishimo ja kusindika chafi. Akaagha mnara na kisha waipangisha mbuwa ya mizabibu kwa wakulima wa mizabibu. Kisha wabonyie charo charo cha kula.
\v 2 Makati ghachafika, wamdumie mtumishi kwa wakulima wa mizabibu kuwokera kufuma kwawhe baadhi ya matunda gha mbuwa ya mizabibu.
\v 3 Ela wamwhada, wakamkaba, na wakambingisa bila chochose.
\v 5 Bado wamdumie umwi, na uyu umweri wambwagha. Wawabonyia wamwi wengi malagho sa aghogheni, wakiwakaba na wamwi kuwabwagha.
\v 6 Wakogho bado na mundu umweri zaidi wa kumduma, mvalwa mkundwa. Naye wakogho wa mwisho adumiwe kwawhe. Akideda, "Dima wamheshimu mwanapwa."
\v 7 Ela wapangaji wadedeshanie weni kwa weni, "Uyu nie mpali. Chonyi, hebu na dimbwaghe, na upalo dimagwaka gwedu."
\v 8 Wamvamia, wakambwagha na kumdagha shighadi ya mbuwa ya mizabibu
\v 9 Kwa huwo, Je! Dimawabonyai mmiliki wa mbuwa ya mizabibu? Dimawacha na kuwaangamiza wakulima wa mizabibu na dimawaikabidhi mbuwa ya mizabibu kwa wamwi.
\v 19 "Mwalimu, Musa wadiandikie kuwa, "Ikika mmbari wa mundu akafwa na kumsigha mka nyuma yake, ela ndasighie mwana, mundu dimawamwusa mka wa mmbari wake, na kukipatia wana kwa ajili ya mmbari wake.'
\v 20 Kurikogho na wambari saba, wa kwanza wawusie mka na kisha wafwie, ndasighie wana.
\v 21 Kisha wa kawi wawusie na ye akafwa, ndasighie wana. Na wa kadadu halikadhalika.
\v 22 Na wa saba wafwie bila kusigha wana. Mwishowe na mndumka pia akafwa.
\v 23 Makati gha ufufuo, wakachafufuka sena, Je! imawaka mka wa ani? kwani waja wa mbari wose saba wakogho wami wake."
\v 24 Jesu wawaghoria, Je! ihi si sababu kuka mwapotoshwa, kwa sababu ndammanyaa maandiko wala ndighi ra Mlungu?"
\v 25 Makati gha kufufuka fuma kwa wafwie, ndawalowuaa wala kungia katika ndoa, bali dimawaka sa malaika wa mbingunyi.
\v 26 Ela, kuhusu wafu ambawo wadafufuliwa, Je! ndamsomie kufuma katika chuo cha Musa, katika habari ra kichaka, jinsi Mlungu andu wadedie na kumghoria, 'Nyi na Mlungu wa Abrahamu, na Mlungu wa Isaka, na Mlungu wa Yakobo?'
\v 27 Ye si Mlungu wa wafwie, bali wa wakoo hai. Yadhahiri mwapotoka."
\v 28 Umweri wa waandishi wachee na kughasikira mazungumzo ghawhe; Wawonie kwamba Jesu wawajibie vema. Wamkotie, Je! niamri iyao ikoo ya muhimu zaidi kuliko rose?"
\v 33 Kumkunda ye kwa moyo gwose, na kwa ufahamu gwose na kwa ndighi rose, na kumkunda jirani sa mweni, ya muhimu mno kuliko mafunyo na dhabihu ra kuteketeza."
\v 34 Makati Jesu achawona wafunya ijibu ja busara, wamghoria, "We ndauko kula na ufalme gwa Mlungu." Baada ya aho ndakudae hata umweri wathubutu kumkotia Jesu maswali ghoghose.
\v 35 Na Jesu wajibie, makati warikogho akifundisha katika ihekalu, akadeda, "Je! waandishi hudedadawada kuwa Kristo wa mvalwa wa Daudi?
\v 36 Daudi mweni katika Ngolo wa kuela, wadedie, 'Mzuri wadedie kwa Mzuri wapwa, katika mkonu gwapwa gwa kuume, mpaka niwabonye walaghe laghe wako kuka ndonyi ya maghu ghako.'
\v 37 Daudi mweni humwanga Kristo, 'Mzuri, 'Je! wa mvalwa wa Daudi kwa jinsi iao?" Na ikusanyiko baha jamsikira kwa furaha.
\v 41 Kisha Jesu wakee ndonyi avui na isanduku ja sadaka ndenyi ya ieneo ja ihekalu; wakogho akiguwa wandu warikogho wakikumba pesa rawhe ndenyi ya isanduku. Wandu wengi matajiri wawikie kiasi kibaha cha pesa.
\v 42 Kisha mndumka mkolo masikini wachee na kuwika viwande viwi, thamani ya senti.
\v 43 Kisha akawawanga wanafunzi wake na waghoria, 'Amini nawaghoria, mndumka uyu mkolo wakumba kiasi kibaha zaidi ya wose ambawo wafunya kala katika isanduku ja sadaka.
\v 44 Kwani wose wafunya kufumana na wengi gwa mapato yawhe. Ela mndumka mkolo uyu, kufuma katika umaskini gwake, wa kumba pesa yose ambayo wapasiwe kuidumia kwa maisha ghake."
\c 13
\cl Sura 13
\p
\v 1 Jesu warikogho akitembea kufuma hekalunyi, umweri wa wanafunzi wake akamkotia, "Mwalimu. guwa magwe agha ghakushangaza na maagho!"
\v 2 Akamghoria, unawona maagho agha mabaha? Ndakudae hata igwe jimweeri jisaliaa ighu ya jimwi ambajo ndajigwi shwaghwa ndonyi."
\v 5 Jesu wawokie kuwaghoria, "kenyi makini kwamba mundu wowose asawapotoshe.
\v 6 Wengi dimawacha kwa irina japwa wakideda 'Nyi nie', na dimawawapotosha wengi.
\v 7 Mchasikira kondo na tetesi ra kondo, msaboe; malagho agha ndaghadae budi kufumiria, ela mwisho bado.
\v 8 Itaifa dimajanuka kinyume na itaifa jimwi, na ufalme kinyume na ufalme. Dimakwaka na matetemeko gasi tofauti, na njala. Ughu ni mwanzo gwa utungu.
\v 9 Kenyi meso. Dimawawaghenja hadi mabarazenyi, na dimamwapingwa katika masinagogi. Dimamwakaia kimsi imbiri ya watawala na wagimbikwa kwa ajili yapwa, sa ushuhuda kwawhe.
\v 10 Ela injili kwanza ihubiriwe kwa mataifa ghose.
\v 11 Wachawawhada na kuwakabidhi, msaboe kuhusu chija andumdedaa. Ndenyi ya taimu iro, dimamwanekwa indoi cha kudeda; ndamkagha inyo mdedaa, bali ngolo wa kuela.
\v 12 Mmbari dimawamshitaki mmbari kubwaghwa, Aba na mwanake. Wana dimawaka kimsi kinyume cha waka aba wawhe na kuwasababisha kubwaghwa.
\v 13 Dimamwazamiwa na kila mundu kwa sababu ya irina japwa. Ela arumaghiagha mpaka mwisho, mundu uyo dimawaokoka.
\v 26 Niko wachamwona mvalwa wa Adamu akicha madulunyi kwa ndighi mbaha na utukufu.
\v 27 Niko dimawaduma malaika rake na dimawawika andu amweri wateule wake kufuma gasi mbaha ina ra dunia, kufuma mwisho gwa dunia mpaka mwisho gwa mbingu.
\v 31 Mbingu na isanga dimaraidia, ela madedo ghapwa ndaghaidagha kamwe.
\v 32 Ela kuhusu iruwa ijo angu saa, ndakudae amanyagha, hata malaika wa mbingunyi, wala mvalwa, ela Aba.
\v 33 Kenyi meso, Guwa, kwa sababu ndamuichi ni taimu ki dimaghafumiria.
\v 34 (Maziria: Mstari ughu, "mke waangalifu, Guwenyi na tasenyi kwa sababu..." ndauko na kalenyi ra kala). Ni sa andu aghendaa chorenyi: akasigha iwacha jake, na kuwika mtumwa wake kuka mtawala wa iwacha, kila umweri na chaghu chake. Na kumuamuru mlinzi kuka meso.
\v 35 Kwa huwo kenyi meso! kwani ndammanyaa ni li Mzuri wa iwacha achawuya nyumbenyi, idadikana ni kwenyi, kio kibaha, makati jogholo achalila, angu kesho kio.
\v 1 Ghakogho maruwa awi tu baada ya sikukuu ya pasaka na ya mikate isakumbagwa chachu. Makuhani wabaha na waandishi wakogho wakilola namna ya kuwhada Jesu kwa hila na kumbwagha.
\v 3 Makati Jesu warikogho Bethania nyumbenyi kwa simoni mkoma, na warikogho akielekea mezenyi, mndumka umweri wachee kwake akika na chupa ya marashi gha nardo ielie yeni gharama mbaha nanganyi, waichukanya chupa na kuimimina ighu ya chongo chake.
\v 4 Ela kurikogho na baadhi yawhe wawonie vire. Waghoriana weni kwa weni wakideda, "Ni indoi sababu ya ulaghashaa ughu?
\v 5 Manukato agha kumachaghadima kudagwa kwa zaidi ya dinari mia idadu, na wakanekwa maskini." Nawo wamkemia.
\v 12 Katika iruwa ja kwanza ja mkate usakumbagwa chachu, makati wachafunya mwanang'ondi wa pasaka, wanafunzi wake wamghoria, 'ukundi dighende hao dikaandae ili upate kuja mlogwa pasaka?"
\v 20 Jesu wajibie na kuwaghoria, "Ni umweri wa kumi na wawi kati yenyu, umweri ambae ijiaha adachovya itonge katika ibakuli andu amweri na nyi.
\v 21 Kwa wuja mvalwa wa Adamu dimawaghenda sa wuja maandiko andu ghadedaa ighu yake. Ela ole wake mundu uja ambae kuidia ye mvalwa wa Adamu dimawasalitiwa! kumacha asavalwa."
\v 32 Wachee ieneonyi jiwangiweghe Gethsamane, na Jesu akawaghoria wanafunzi wake, "kenyi aha makati ndasali."
\v 33 Wawawusie Petro, Yakobo na Yohana andu amweri na ye, akawoka kuhuzunika na kutaabika nanganyi.
\v 34 Wawaghoria, "Nafasi yapwa ikona huzuni nanganyi, hata kufwa. Bkinyi aha na mke meso."
\v 35 Jesu waghendie imbiri kidogo, akagwa ndonyi, akatasa, ngelo kumacha yadimikana, kwamba saa ihi kumachayamuepuka.
\v 36 Wadedie, "Aba, Aba, malagho ghose kwako ghadadimikana. Niinjie kikombe ichi. Ela sio kwa mapenzi ghapwa, bali mapenzi ghako."
\v 37 Wawurie na kuwadoka watungura, na akamghoria Petro, "Simoni, Je watungura? Ndudimie kuka meso hata isaa jimweri?
\v 38 Kenyi meso na mtase kwamba msache ngia katika kugheriwa. Hakika ngolo yeko radhi, ela muwi ni dhaifu."
\v 39 Waghendie sena na kutasa, na watumia madedo ghajagheni.
\v 40 Wachee sena akadoka watungura, kwa wuja meso gwawhe ghakogho mazito na ndawamanyie indoi cha kumghoria.
\v 41 Wachee mara ya kadadu na kuwaghoria, "Bado mwatungura na kusoghoka? idatosha! isaa jafika. Guwa! mvalwa wa Adamu dimawasalitiwa mikonunyi mwa wekona zambi.
\v 42 Wukienyi, dighendenyi. Guwa, uja anisaliti ako avui."
\v 43 Mara tu warikogho bado adaaria, Yuda, umweri wa waja kumi na wawi, wafikie, na ikundi ibaha kufuma kwa wabaha wa makuhani, waandishi na waghosi weni malwamba na marungu.
\v 44 Makati agho msaliti wake wakogho wawaneka ishara, akideda, uja nibusu, niye. Mwhadenyi na kumghenja ndonyi ya wulinzi.
\v 45 Makati Yuda wachafika, moja kwa moja waghendie kwa Jesu na kudeda, "Mwalimu! Na wambusu.
\v 46 Kisha wakamkuba ndonyi ya walinzi na kumwhada.
\v 47 Ela umweri kati yawhe wakaiye kimsi avui na ye wachomoa luwamba lwake akamkaba mtumishi wa kuhani mbaha na kumdema kudu.
\v 53 Wamlongozie Jesu kwa kuhani mbaha. Aja wamkwania andu amweri na ye makuhani wabaha wose, waghosi, na waandishi.
\v 54 Petro na ye wamnughie Jesu kwa kula, kuelekea uenyi kwa kuhani mbaha. Wakee andu amweri na walinzi, warikogho avui na modo wakiota ili kupata kiruke.
\v 55 Makati agho makuhani wabaha wose na ibaraza jose wakogho wakilola ushahidi dhidi ya Jesu ili wapate kumbwagha. Ela ndawaupatie.
\v 56 Kwa wuja wandu wengi waredie ushuhuda wawhe ndaghufwanane.
\v 57 Baadhi wakeekimsi na kureda ushahidi gwatee dhidi yake; wakideda,
\v 58 "Dimsikira akideda, 'Dimanajinona ihekalu iji jibonyiriweghe kwa mikonu, na ndenyi ya maruwa adadu dimanaagha jimwi jisabonyiriagwa kwa mikonu."
\v 70 Ela wakanie sena. Baadae kidogo waja warikogho wakakimsi aja wakogho wakimghoria Petro, "Hakika we wa umweri wawhe, kwa maana we pia wa mgalilaya."
\v 72 Kisha jogholo walilie mara ya kawi. Kisha Petro wakumbukie madedo ambagho Jesu warikogho wamghoria: "kabla jogholo ndaselila mara iwi, dimawanikana mara idadu: Na wagwie ndonyi na kulila.
\c 15
\cl Sura 15
\p
\v 1 Kesho kio mapema wabaha wa makuhani wa kwana andu amweri na waghosi na waandishi na ibaraza ilanzi ja waghosi. Kisha wakamrugha Jesu wakamghenja kwa Pilato. Pilato akamkotia, "We wa mgimbikwa wa wayahudi?"
\v 2 Wamjibie, "We wadeda huwo."
\v 3 Wabaha wa makuhani wakaeleza mashitaka meengi ighu ya Jesu.
\v 4 Pilato akamkotia sena, "Ndujibu chochose? Nduwonaa jinsi andu wakushtaki kwa malagho mengi?
\v 5 Ela Jesu ndamjibie Pilato, na hiyo yamshangazie.
\v 31 Kwa namna ija yeni wabaha wa makuhani wamdhihaki wakidedeshana, andu amweri na waandishi na kudeda," Wawatesia wamwi, elandadimaa kukitesia mweni.
\v 32 Kristo Mgimbikwa wa Israeli, sea ndonyi iji aha fuma msalabenyi, ili didime kuwona na kuamini." Na waja wasulubiwe andu amweri na ye pia wamdhihaki.
\v 33 Ichafika saa sita, kira kichaka ighu ja isanga jose hata saa kenda.
\v 34 Makati gha saa kenda, Jesu wakabie jogho kwa sauti mbaha, "Eloi, lama saba kitani?" ikika na maana, "Mlungu wapwa, Mlungu wapwa, kwaindoi wanisigha?"
\v 36 Mundu umweri akakimbia, akachura siki katika isiponji na kuiwika ighu ya mdi gwa mwanzi, akamneka ili anywe. Mundu umweri akadeda, "Wasera diwone ngelo Eliya dimawacha kumsera ndonyi."
\v 37 Kisha Jesu akalila kwa sauti mbaha na akafwa.
\v 38 Ipizia ja ihekalu jikawanyika viwande viwi toka ighu mpaka ndonyi.
\v 42 Kuchadime, na kwa wuja yakogho siku ya maandalio, iruwa kabla ya sababto,
\v 43 Ysufu wa Arimathaya wachee aja. Wakogho ni mjumbe wa Mjumbe wa Ibaraza aheshimiwa gha mundu autarajiagha ugimbikwa gwa Mlungu. kwa ujasiri waghendie kwa pilato, na kuulomba muwi gwa Jesu.
\v 44 Pilato akashangazigwa kwamba Jesu tayari wafwa; akamwanga uja afisa akamkotia ngelo Jesu wafwa.
\v 45 Wachapata uhakika kwa afisa kwamba wafwa, wamruhusu Yusufu kuuwusa muwi.
\v 46 Yusufu wakogho wagua sanda. Akamsera fuma msalabenyi, akamrugha kwa sanda na kumwika ndenyi ya ikaburi jikotiwe katika lwala. Kisha akajiviringisha igwe mjangonyi kwa ikaburi.
\v 47 Mariamu Magdalena na Mariamu mae Yose wawonie andu warikiwe Jesu.
\c 16
\cl Sura 16
\p
\v 1 Makati sababto ichasia, Mariamu Magdalena na Mariamu mae na Yakobo, na salome, wagulie manukato ghaboie, ili wadime kucha na kuuvia mavuda muwi gwa Jesu kwa ajili ya mariko.
\v 2 Kesho kio mapema iruwa ja kwanza ja juma waghendie ikaburinyi makati iruwa jichachomoza.
\v 3 Wakidedeshana weni kwa weni, Ani dimawajiviringisha igwe, kwa ajili yedu ili dingie kaburinyi?"
\v 9 \f + \ft Maziria: Nakala ra kala ndaridae Marko 16: 9-20 \f* Mapema katika iruwa ja kwanza ja juma, baada ya kufufuka, wamfumiria kwanza Mariamu Magdalena, ambae kufuma kwake wamfunya mapepo saba.
\v 12 \f + \ft Maziria: Nakala ra kala ndaridae Marko 16: 9-20 \f* Baada ya agho, akakifunya katika namna tofauti kwa wandu wawi, makati warikogho wakighenda kufuma katika isanga.
\v 14 \f + \ft Maziria: Nakala ra kala ndaridae Marko 16: 9-20 \f* Jesu baadae akakifunya kwa waja kumi na umweri warikogho waegama katika meza, na akawakemia kwa kusea mini kwawhe na ugumu wa mioyo, kwa sababu ndawaaminie waja wamwonie baada ya kufufuka kufuma kwa wafwie.
\v 17 \f + \ft Maziri: Nakala ra kala ndaridae Marko 16: 9-20 \f* Ishara iri dimarambatana na wose waamini. Kwa irina japwa dimawainja pepo. Dimawadeda kwa lugha mbishi.
\v 18 Dimawawhada choka kwa mikonu yawhe, na hata wakinywa kilambo chochose cha kufisha ndachiwadhuru. Dimawawika mikonu kwa wakongo, na wo dimawaka walanzi."