forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
775 B
Markdown
21 lines
775 B
Markdown
# Hamwezi kunywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mapepo
|
|
|
|
Paulo anazungumzia habari ya mtu anayenywea kikombe kile kile ambacho mapepo hunywea kuonyesha kuwa mtu huyo ni rafiki wa mapepo. kwa maneno mengine " haiwezekani kuwa rafiki wa kweli kwa wote, Bwana na mapepo"
|
|
|
|
# Hamuwezi kuwa na ushirika katika meza ya Bwana na katika meza ya mapepo
|
|
|
|
" Haiwezekani kuwa na urafiki wa kweli kwa watu wa Mungu na mapepo pia"
|
|
|
|
# Au twamtia Bwana wivu?
|
|
|
|
Paulo anataka Wakorintho kujibu swali hili katika mioyo yao " Mnapaswa kujua hata kabla ya kuwaambi ya kuwa haifai kumtia wivu Bwana"
|
|
|
|
# twamtia
|
|
|
|
kukasirika au kukera
|
|
|
|
# Tuna nguvu zaidi yake?
|
|
|
|
Paulo anataka Wakorintho kujibu swali hili katika mioyo yao " Mnapaswa kujua hata kabla ya kuwaambi ya kuwa hatuna nguvu kuliko Mungu"
|
|
|