sw_tn/1co/08/11.md

17 lines
398 B
Markdown

# ufahamu wako
Paulo anatumia neno "wako" kuongea na Wakorintho wote
# aliye dhaifu... anaangamizwa
Kaka au dada asiyekuwa imara katika imani yake atatenda dhambi au kupoteza imani yake.
# Kwa hiyo
"kwa sababu nilichoeleza ni kweli"
# ikiwa chakula kinasababisha
" chakula" ni picha ya mtu anayekula hicho chakula " kwa kula kwangu kama nitasababisha" au " Ikiwa ninakula na kusababisha"