sw_tn/zec/08/04.md

12 lines
255 B
Markdown

# iwe katika mitaa ya Yerusalemu
"kuwa inaishi Yerusalemu"
# katika mikono yake kwa sababu amezeeka
Wasaa wa kuzeeka ni alama ya amani na mafanikio.
# Na mitaa ya mji itajaa
Maeneo ya wazi ya mji yatakuwa yamejaa watu katika shughuli zao za kawaida.