# iwe katika mitaa ya Yerusalemu "kuwa inaishi Yerusalemu" # katika mikono yake kwa sababu amezeeka Wasaa wa kuzeeka ni alama ya amani na mafanikio. # Na mitaa ya mji itajaa Maeneo ya wazi ya mji yatakuwa yamejaa watu katika shughuli zao za kawaida.