|
# Kwa kukemea kwako
|
|
|
|
"Ulipowakemea"
|
|
|
|
# walisinzia
|
|
|
|
"walikufa" au "walianguka chini na kufa"
|
|
|
|
# nani anaweza kusimama mbele ya macho yako unapokuwa na hasira?
|
|
|
|
"Hakuna mtu anayeweza kusimama machoni pako unapokuwa na hasira" au "Unaweza kumwangamiza yeyote ambaye una hasira naye"
|