# Kwa kukemea kwako "Ulipowakemea" # walisinzia "walikufa" au "walianguka chini na kufa" # nani anaweza kusimama mbele ya macho yako unapokuwa na hasira? "Hakuna mtu anayeweza kusimama machoni pako unapokuwa na hasira" au "Unaweza kumwangamiza yeyote ambaye una hasira naye"