sw_tn/num/32/01.md

8 lines
238 B
Markdown

# Sasa
Hili neno "sasa" linatumika hapa kuonesha mwanzo wa habari mpya. Musa anaanza kueleza historia ya Kabila la Reubeni na Gadi.
# Atarothi, Diboni, Jazeri, Nimrahi, Heshiboni, Elealehi, Sabamu, Nebo na Beoni
Haya ni majina ya miji