# Sasa Hili neno "sasa" linatumika hapa kuonesha mwanzo wa habari mpya. Musa anaanza kueleza historia ya Kabila la Reubeni na Gadi. # Atarothi, Diboni, Jazeri, Nimrahi, Heshiboni, Elealehi, Sabamu, Nebo na Beoni Haya ni majina ya miji