sw_tn/num/07/89.md

16 lines
290 B
Markdown

# aliisikia sauti yake ikimwambia
"sauti yake" inamaanisha sauati ya BWANA. "alimsikia BWANA akimwambia"
# kutoka juu ya kiti cha rehema ... kutoka kati kati ya makerubi.
Virai hivi viwili vinafafanua eneo moja
# sanduku la ushahidi
Tazama 4:5
# Alinena naye
"BWANA alinena na Musa"