# aliisikia sauti yake ikimwambia "sauti yake" inamaanisha sauati ya BWANA. "alimsikia BWANA akimwambia" # kutoka juu ya kiti cha rehema ... kutoka kati kati ya makerubi. Virai hivi viwili vinafafanua eneo moja # sanduku la ushahidi Tazama 4:5 # Alinena naye "BWANA alinena na Musa"