sw_tn/mrk/08/22.md

16 lines
439 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Wakati ambapo Yesu na wanafunzi wake wanatoka katika mtumbwi wao hukpo Bethsaida, Yesu anamponya mtu kipofu.
# Bethsaida
Huu ulikuwa ni mji kaskazini mwa ufuko wa bahari ya Galilaya.
# akamshika
Hii inaweza kuwa msaada kusema kwa nini walitaka Yesu amguse mtu huyo. "kumgusa ili kumponya"
# Alipotema mate juu ya macho yake ...alimuuliza
"Wakati ambapo Yesu alipotema mate juu ya macho yake... Yesu alimuuliza"