# Sentensi unganishi Wakati ambapo Yesu na wanafunzi wake wanatoka katika mtumbwi wao hukpo Bethsaida, Yesu anamponya mtu kipofu. # Bethsaida Huu ulikuwa ni mji kaskazini mwa ufuko wa bahari ya Galilaya. # akamshika Hii inaweza kuwa msaada kusema kwa nini walitaka Yesu amguse mtu huyo. "kumgusa ili kumponya" # Alipotema mate juu ya macho yake ...alimuuliza "Wakati ambapo Yesu alipotema mate juu ya macho yake... Yesu alimuuliza"