sw_tn/jhn/13/28.md

8 lines
214 B
Markdown

# kwamba awape maskini kitu
Unaweza kutafasiri hii kama, "Nenda na uwape maskini fedha"
# aliondoka na kwenda haraka. Ilikuwa usiku
Yohana anamaanisha hapa kwamba Yuda angefanya uovu wake gizani wakati wa usiku