# kwamba awape maskini kitu Unaweza kutafasiri hii kama, "Nenda na uwape maskini fedha" # aliondoka na kwenda haraka. Ilikuwa usiku Yohana anamaanisha hapa kwamba Yuda angefanya uovu wake gizani wakati wa usiku