sw_tn/jhn/13/06.md

8 lines
234 B
Markdown

# Bwana, unataka kuniosha miguu yangu?
Swali la Petro linaonesha kwamba hayupo tayari kuosha miguu yake na Yesu.
# Kama sitakuosha miguu, basi hauna shirika nami
Yesu anatumia maneno magumu kumshawishi Petro akubali kuoshwa miguu.