# Bwana, unataka kuniosha miguu yangu? Swali la Petro linaonesha kwamba hayupo tayari kuosha miguu yake na Yesu. # Kama sitakuosha miguu, basi hauna shirika nami Yesu anatumia maneno magumu kumshawishi Petro akubali kuoshwa miguu.