sw_tn/jhn/12/48.md

12 lines
249 B
Markdown

# katika siku ya mwisho
wakati ambapo Mungu atahukumu dhambi za watu
# Nami najua ya kuwa amri yake ni uzima wa milele
Nami najua ya kuwa maneno aliyoniagiza mimi kusema ni maneno yaletayo uzima milele.
# Baba
Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu