# katika siku ya mwisho wakati ambapo Mungu atahukumu dhambi za watu # Nami najua ya kuwa amri yake ni uzima wa milele Nami najua ya kuwa maneno aliyoniagiza mimi kusema ni maneno yaletayo uzima milele. # Baba Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu