forked from WA-Catalog/sw_tn
490 B
490 B
Kama utarudi, Israeli
"Kama utanirudida, au kama mtabadilisha tabia zenu, enyi watu wa Israeli"
ikiwa kwangu kwamba umerudi.
"kisha ukaanza kuniabudu"
Asema BWANA
Tazama 1:7
Kama utaondoa hayo mabao yachukizayo mbele yangu
"Ondoa hizo sanamu zichukizazo mbele yangu"
na ukaacha kunikimbia mimi tena
"ukabaki mwaminifu kwangu"
Limeni shamba zenu na msipande kwenye miiba
BWANA anawaambia watu wake kuandaa maisha yao kama mkulima aandavyo shamba kwa ajili ya kupanda