forked from WA-Catalog/sw_tn
477 B
477 B
Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli.
imewekwa akiba kwa ajili ya mahali patakatifu
"ambayo uliyoitoa kwa ajili ya mahali patakatifu."
Urefu utalingana na urefu wa moja ya hayo mafungu
Inaonyesha kwamba Ezekieli analinganisha nchi ya mwana mfalme na ukubwa wa nchi iliyotolewa kwa kila makabila.
kutoka magharibi hata mashariki
Inaonyesha kwamba hii ilikuwa mipaka ya magharibi na mashariki mwa nchi ya Israeli.