sw_tn/ezk/45/06.md

16 lines
477 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli.
# imewekwa akiba kwa ajili ya mahali patakatifu
"ambayo uliyoitoa kwa ajili ya mahali patakatifu."
# Urefu utalingana na urefu wa moja ya hayo mafungu
Inaonyesha kwamba Ezekieli analinganisha nchi ya mwana mfalme na ukubwa wa nchi iliyotolewa kwa kila makabila.
# kutoka magharibi hata mashariki
Inaonyesha kwamba hii ilikuwa mipaka ya magharibi na mashariki mwa nchi ya Israeli.