sw_tn/exo/34/08.md

12 lines
343 B
Markdown

# Kama sasa nimepata upendeleo machoni pako
Kumpendeza mtu kuna zungumziwa kama kupata upendeleo machoni pao.
# maasi yetu na dhambi zetu
Maneno "maasi" na "dhambi" kimzingi ina maana moja na yame unganishwa kwa msisitizo.
# utuchukuwe kama urithi wako
Kitu ambacho mtu ana miliki milele kina zungumziwa kana kwamba ni kitu mtu alirithi.