# Kama sasa nimepata upendeleo machoni pako Kumpendeza mtu kuna zungumziwa kama kupata upendeleo machoni pao. # maasi yetu na dhambi zetu Maneno "maasi" na "dhambi" kimzingi ina maana moja na yame unganishwa kwa msisitizo. # utuchukuwe kama urithi wako Kitu ambacho mtu ana miliki milele kina zungumziwa kana kwamba ni kitu mtu alirithi.