sw_tn/deu/32/19.md

16 lines
354 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
# wana wake wa kiume na mabinti zake
Hii ina maana ya watu wa Israeli ambaye Yahwe aliwapa uzima na kuwafanya kuwa taifa.
# Nitaficha uso wangu kwao
Hii ni lahaja. "Nitageuka kutoka kwao" au "Nitaacha kuwasaidia"
# nitaona mwisho wao utakuaje
"Nitaona nini kitatokea kwao"