forked from WA-Catalog/sw_tn
354 B
354 B
Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
wana wake wa kiume na mabinti zake
Hii ina maana ya watu wa Israeli ambaye Yahwe aliwapa uzima na kuwafanya kuwa taifa.
Nitaficha uso wangu kwao
Hii ni lahaja. "Nitageuka kutoka kwao" au "Nitaacha kuwasaidia"
nitaona mwisho wao utakuaje
"Nitaona nini kitatokea kwao"