sw_tn/deu/25/05.md

24 lines
782 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Iwapo kaka wanaishi pamoja
Maana zaweza kuwa 1) "kama ndugu wanaishi katika mahali pamoja" au 2) "kama ndugu wanaishi karibu na mwenzake".
# basi mke wa marehemu hatakiwi kuolewa na mtu
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kisha familia ya mtu aliyekufa anapaswa kumruhusu mjane aolewe na mtu"
# na kutekeleza wajibu wa kaka wa mume kwake
"na kufanya kile ambacho kaka wa mume aliyefariki anatakiwa kufanya"
# atarithi chini ya jina la kaka yake mwanamume aliyefariki
Neno "jina" ni lugha nyingine ya ukoo wa mtu. "ataendeleza ukoo wa kaka wa mtu aliyekufa"
# ili jina lake lisiangamie ndani ya Israeli
Neno "jina" ni lugha nyingine ya ukoo wa mtu. "ili kwamba ukoo wake usipotee kutoka Israeli"