sw_tn/deu/22/28.md

16 lines
444 B
Markdown

# lakini hajachumbiwa
"lakini ambaye wazazi wake hawajamuahidi mwanamume mwingine ya kuwa ataolewa na yeye"
# na kama wakagundulika
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na kama mtu akagundua kilichotokea"
# shekeli hamsini za fedha
Shekeli ina uzito wa gramu kumi na moja. "vipande hamsini vya fedha" au "gramu 550 za fedha"
# Hatakiwi kumfukuza katika siku zake zote
Hii ni lahaja. "Hatakiwi kumpa talaka katika maisha yake yote"