forked from WA-Catalog/sw_tn
723 B
723 B
Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli.
anachagua kuweka jina lake
Hapa "jina" urejea kwa Mungu mwenyewe. Yahwe angeweza kuchagua eneo ambapo ataishi na watu watakuja kumwabudu yeye.
ndani ya malango yako
Hapa "malango" uwakilisha mji mzima
kama hamu ya nafsi yako
Hapa "nafsi" urejea kwa mtu mzima
Kama paa na kulungu wanaliwa
Hii inaweza kutofasiriwa kwa kauli tendaji.
paa na kulungu
Hawa ni wanyama wa mwituni mwenye miguu mirefu miembamba ambayo ukimbia kwa haraka.
asiye mfsafi...watu
Mtu asiyekubalika kwa kusudi la Mungu imesemwa kama mtu huyo alikuwa najisi kimwili.
watu safi
Mtu anayekubalika kwa kusudi la Mungu imesemwa kama mtu huyo alikuwa msafi kimwili.