sw_tn/2sa/21/07.md

28 lines
482 B
Markdown

# Mefiboshethi
Alikuwa mwana wa Yonathani.
# Rispa... Aiya
Rispa alikuwa mwanamke na babaye aliitwa Aiya.
# Amoni na Mefiboshethi... Adrieli... Barzilai
Haya ni majina ya wanaume. Huyu siyo Mefiboshethi mwana wa Yonathani.
# Mikali
Hili ni jina la binti wa mfalme Sauli na alikuwa mke wa kwanza wa Daudi.
# Mmeolathi
Hili ni jina la kundi la watu.
# Akawakabidhi katika mikono ya Wagibeoni.
"mikono ya wagibeoni" inamaanisha Wagibeoni.
# Wakauawa
Wagibeoni waliwauwa.