# Mefiboshethi Alikuwa mwana wa Yonathani. # Rispa... Aiya Rispa alikuwa mwanamke na babaye aliitwa Aiya. # Amoni na Mefiboshethi... Adrieli... Barzilai Haya ni majina ya wanaume. Huyu siyo Mefiboshethi mwana wa Yonathani. # Mikali Hili ni jina la binti wa mfalme Sauli na alikuwa mke wa kwanza wa Daudi. # Mmeolathi Hili ni jina la kundi la watu. # Akawakabidhi katika mikono ya Wagibeoni. "mikono ya wagibeoni" inamaanisha Wagibeoni. # Wakauawa Wagibeoni waliwauwa.