sw_tn/1ki/17/22.md

20 lines
426 B
Markdown

# BWANA akaisikiliza sauti ya Eliya
"BWANA akajibu maombi ya Eliya"
# uhai wa mtoto ukamrudia, na akawa hai.
"mtoto akarudia uhai wake"
# chumbani kwake
"kwake" Eliya
# Tazama, mwanao yuko hai
Neno "Tazama" linatuandaa kuwa makinii kwa taarfa ambazo ziinafuata.
# Neno la BWANA kinywani mwako ni la kweli
"Neno" linawakilisha ujumbe. Pia "kinywani" linamaanishsa kile Eliya alichosema kutoka kwa BWANA ni cha ukweli"