sw_tn/1ki/02/43.md

12 lines
340 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Mfalme Sulemani anatoa hukumu juu ya Shimei kwa sababu ya kuondoka Yerusalemu.
# Kwa nini basi umeshindwa kulinda kiapo chako ... nuliyokupa?
Inaweza kumaanisha 1) Sulemani anataka kjua jibu au 2)"umefanya makosa kwa kuvunja kiapo chako ... wewe"
# kichwani pako
Neno "kichwa" linamaanisha mtu kamili. "juu yako"