# Taarifa kwa ujumla Mfalme Sulemani anatoa hukumu juu ya Shimei kwa sababu ya kuondoka Yerusalemu. # Kwa nini basi umeshindwa kulinda kiapo chako ... nuliyokupa? Inaweza kumaanisha 1) Sulemani anataka kjua jibu au 2)"umefanya makosa kwa kuvunja kiapo chako ... wewe" # kichwani pako Neno "kichwa" linamaanisha mtu kamili. "juu yako"