sw_tn/pro/07/01.md

712 B

Tunza maneno yangu

"Tii maneno yangu"

uzihifadhi amri zangu ndani yako mwenyewe

"zikariri amri zangu"

tunza maagizo yangu

"tii maagizo yangu"

kama mboni ya jicho lako

Mboni ya jicho ipo ndani ya jicho ambayo watu huilinda sana wakati kitu kinaporukia usoni. "Mboni" inawakilisha kitu ambacho mtu hukithamini na kukilinda zaidi. "kama mali yako yenye thamani zaidi"

uzifunge katika vidole vyako

  1. mwandishi alitaka mwanae achore baadhi ya amri za Mungu kwenye pete na kuivaa au 2) mwandishi alitaka mwanae akumbuke daima amri za Mungu, kana kwamba ni petefulani ambayo aliivaa daima

ziandike kwenye kibao cha moyo wako

"zikumbuke vizuri amri zangu kana kwamba umeziandika kwenye jiwe"