Mboni ya jicho ipo ndani ya jicho ambayo watu huilinda sana wakati kitu kinaporukia usoni. "Mboni" inawakilisha kitu ambacho mtu hukithamini na kukilinda zaidi. "kama mali yako yenye thamani zaidi"
1) mwandishi alitaka mwanae achore baadhi ya amri za Mungu kwenye pete na kuivaa au 2) mwandishi alitaka mwanae akumbuke daima amri za Mungu, kana kwamba ni petefulani ambayo aliivaa daima