forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
1.5 KiB
Markdown
37 lines
1.5 KiB
Markdown
# Sentensi Unganishi
|
|
|
|
Yesu anaanza kuzungumza katika makutano kuhusu Yohana mbatizaji. anauliza maswli balagha kuwasaidia kufikiri kuhusu ambacho Yohana mbatizaji hasa anavyofanana.
|
|
|
|
# Nini ... mwanzi ukutikiswa na upepo?
|
|
|
|
Hii inategemea jibu hasi. "milikwenda nje kuona mwanzi ukitikiswa na upepo? siyo hivyo" Inaweza pia ikaandikwa kama sentensi. NI: "Kwa hakika hamkwenda kuona mwanzi ukitikiswa na upepo!"
|
|
|
|
# Mwanzi umetikiswa na upepo
|
|
|
|
Maana zinazowekeana kwa sitiari hii ni
|
|
(1) mtu anaye badili mawazo yake, kama mwanzi ni rahisi kugeuzwa na upepo, au 2) mtu anayeongea sana lakini hasemi chochote cha mhimu, kama mwanzi ugeuzwavyo wakati upepo unapovuma.
|
|
|
|
# Lakini nini ... mtu aliyevaa mavazi laini?
|
|
|
|
Hii pia inatazamia jibu hasi, sababu Yohana alivaa vazi gumu. "mlikenda huangalia mtu amevaa nguo laini? siyo hivy!" Hii pia inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: Hakika hamkwenda kuona mtu amevaa nguo laini!"
|
|
|
|
# liyevaa nguo laini
|
|
|
|
Hii inarejea nguo za gharama. Nguo za kawaida zilikuwa chakavu. NI "vaa nguo za gharama"
|
|
|
|
# Ikulu ya mfalme
|
|
|
|
Ikulu ni kubwa, nyumba ya gharama anayoishi mfale.
|
|
|
|
# Lakini ... Nabii?
|
|
|
|
Hii inaelekea kwenye jibu chanya. "Mlikwenda nje kuona nabii?" Ndivyo mlivyofanya!" Hii pia inaweza ikaandikwa kama sentensi. NI: "Lakini mlienda kweli kuona nabii!"
|
|
|
|
# Ndiyo, asema kwenu
|
|
|
|
Yesu alisema kusisitiza umhimu wa vile ambavyo angesema badaye
|
|
|
|
# zaidi ya nabii
|
|
|
|
Kirai hiki kinamaanisha kwamba Yohana alikuwa kabisa nabii, lakini kwamba alikuwa hata zaidi ya nabii halisi. NI: ""siyo nabii wa kawaida" au "ni muhimu zaidi ya nabii wa kawida"
|