sw_tn/luk/07/24.md

1.5 KiB

Sentensi Unganishi

Yesu anaanza kuzungumza katika makutano kuhusu Yohana mbatizaji. anauliza maswli balagha kuwasaidia kufikiri kuhusu ambacho Yohana mbatizaji hasa anavyofanana.

Nini ... mwanzi ukutikiswa na upepo?

Hii inategemea jibu hasi. "milikwenda nje kuona mwanzi ukitikiswa na upepo? siyo hivyo" Inaweza pia ikaandikwa kama sentensi. NI: "Kwa hakika hamkwenda kuona mwanzi ukitikiswa na upepo!"

Mwanzi umetikiswa na upepo

Maana zinazowekeana kwa sitiari hii ni (1) mtu anaye badili mawazo yake, kama mwanzi ni rahisi kugeuzwa na upepo, au 2) mtu anayeongea sana lakini hasemi chochote cha mhimu, kama mwanzi ugeuzwavyo wakati upepo unapovuma.

Lakini nini ... mtu aliyevaa mavazi laini?

Hii pia inatazamia jibu hasi, sababu Yohana alivaa vazi gumu. "mlikenda huangalia mtu amevaa nguo laini? siyo hivy!" Hii pia inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: Hakika hamkwenda kuona mtu amevaa nguo laini!"

liyevaa nguo laini

Hii inarejea nguo za gharama. Nguo za kawaida zilikuwa chakavu. NI "vaa nguo za gharama"

Ikulu ya mfalme

Ikulu ni kubwa, nyumba ya gharama anayoishi mfale.

Lakini ... Nabii?

Hii inaelekea kwenye jibu chanya. "Mlikwenda nje kuona nabii?" Ndivyo mlivyofanya!" Hii pia inaweza ikaandikwa kama sentensi. NI: "Lakini mlienda kweli kuona nabii!"

Ndiyo, asema kwenu

Yesu alisema kusisitiza umhimu wa vile ambavyo angesema badaye

zaidi ya nabii

Kirai hiki kinamaanisha kwamba Yohana alikuwa kabisa nabii, lakini kwamba alikuwa hata zaidi ya nabii halisi. NI: ""siyo nabii wa kawaida" au "ni muhimu zaidi ya nabii wa kawida"