sw_tn/2ki/23/19.md

12 lines
370 B
Markdown

# Yosia akahamisha ... alifanya ... alichinja ... alichoma
Inaweza kuwa bora kutafsiri ili msomaji aelewe kwamba watu wengine, huenda Hilkia na "makuhani chini yake" (23:4), ingewezekana Yosia kusaidiwa kufanya haya mambo.
# nini kilifanyika
"alifanya nini"
# alichoma mifupa ya binadamu juu yao
"alichoma mifupa juu yao hivyo hakuna hata mmoja wao ataitumia tena"