sw_tn/2ki/23/19.md

370 B

Yosia akahamisha ... alifanya ... alichinja ... alichoma

Inaweza kuwa bora kutafsiri ili msomaji aelewe kwamba watu wengine, huenda Hilkia na "makuhani chini yake" (23:4), ingewezekana Yosia kusaidiwa kufanya haya mambo.

nini kilifanyika

"alifanya nini"

alichoma mifupa ya binadamu juu yao

"alichoma mifupa juu yao hivyo hakuna hata mmoja wao ataitumia tena"