sw_tn/2co/13/05.md

16 lines
449 B
Markdown

# Jipimeni wenyewe...hamjagundua...haijagundulika
Maneno "gundulika" na "haijagundulika" yanaweza kuwa na maana ya kupitisha au kutopitisha jaribu.
# ninyi hamkubali kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu?
"ninyi mnapaswa kujua kuwa Yesu Kristo yumo ndani yenu"
# ndani yenu
Inawezekana inamaanisha 1) anaishi ndani ya mtu binafsi au 2) "katikati yenu, "na sehemu muhimu zaidi ni wafuasi wa kundi.
# sisi hatukukataliwa
"Hakika sisi tumekubaliwa."