# Jipimeni wenyewe...hamjagundua...haijagundulika Maneno "gundulika" na "haijagundulika" yanaweza kuwa na maana ya kupitisha au kutopitisha jaribu. # ninyi hamkubali kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? "ninyi mnapaswa kujua kuwa Yesu Kristo yumo ndani yenu" # ndani yenu Inawezekana inamaanisha 1) anaishi ndani ya mtu binafsi au 2) "katikati yenu, "na sehemu muhimu zaidi ni wafuasi wa kundi. # sisi hatukukataliwa "Hakika sisi tumekubaliwa."