sw_tn/2co/08/18.md

646 B

pamoja naye

"pamoja na Tito"

ndugu ambaye anasifiwa miongoni mwa makanisa

Sentensi hii yaweza kusemwa hivi: "ndugu ambaye anasifiwa miongoni mwa makanisa yote. Yaweza kusemwa hivi: "ndugu ambaye miongoni mwa waamini wa makanisa humsifu"

Si hivi tu

"Siyo waamini wote wa makanisa humsifu yeye"

lakini pia alichaguliwa na makanisa

Sentensi hii yaweza kusemwa: "yeye pia alichaguiwa na makanisa'

katika kulibeba sehemu mbalimbali tendo hili la ukarimu.

"kupeleka kwa wengine tendo hili la ukarimu " Hii ina maanisha kuchukua matoleo kupeleka Yerusalemu.

kwa shauku yetu ya kusaidia.

"kuonyesha kwa vitendo utayari kusaidia"