# pamoja naye "pamoja na Tito" # ndugu ambaye anasifiwa miongoni mwa makanisa Sentensi hii yaweza kusemwa hivi: "ndugu ambaye anasifiwa miongoni mwa makanisa yote. Yaweza kusemwa hivi: "ndugu ambaye miongoni mwa waamini wa makanisa humsifu" # Si hivi tu "Siyo waamini wote wa makanisa humsifu yeye" # lakini pia alichaguliwa na makanisa Sentensi hii yaweza kusemwa: "yeye pia alichaguiwa na makanisa' # katika kulibeba sehemu mbalimbali tendo hili la ukarimu. "kupeleka kwa wengine tendo hili la ukarimu " Hii ina maanisha kuchukua matoleo kupeleka Yerusalemu. # kwa shauku yetu ya kusaidia. "kuonyesha kwa vitendo utayari kusaidia"